BAO pekee lililofungwa na kiungo mshambuliaji, Jean Charles Ahoua limeipa Simba ushindi wa kwanza ugenini msimu huu katika mechi za Kombe la Shirikisho Afrika baada ya kuichapa CS Sfaxien ...
WAKATI mabosi wa KenGold wakipigia hesabu za kumsainisha aliyekuwa kiungo wa Yanga na Simba, Mrundi Saidi Ntibazonkiza ‘Saido’, nyota huyo ameweka masharti mapya kwa viongozi wa timu hiyo ...
KUNA wakati kocha wa Real Madrid, Carlo Ancelotti alieleza kuwa matatizo makubwa ya makocha vijana ni pamoja na kujaribu kutoa maelekezo kwa mchezaji wakati akiwa na mpira.
WALE waliokuwa wakiiponda Yanga ya Sead Ramovic kwamba haina kitu, kwa sasa huenda wanatafuta mahali pa kuficha sura zao, kwa namna Gusa Achia Twende Kwao ilivyoanza kulipa kwa kikosi ...