WASHAMBULIAJI wengi wanapenda kufunga ingawa kuna wakati pia huwa wanajikita katika kusaidia wachezaji wenzao kufanya hivyo.