Rajabu Reli (22) amehukumiwa miezi sita jela na Mahakama ya Wilaya ya Sengerema baada ya kukutwa na hatia ya kuvaa sare za Jeshi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) bila ruhusa.
Kuanzia Januari 20 baada ya kuapishwa, Trump anarejea tena madarakani akiwa na nguvu ya kutekeleza ahadi alizozitoa kwa wananchi wa Marekani wakati wa uchaguzi na kufanikiwa kumshinda ...