Amehimiza wazazi kuwapa watoto muda mzuri wa kusoma, kwani huu ni wakati wao wa kujifunza ili kupata matokeo mazuri.
Mkurugenzi wa Halmashauri ya Mji wa Ifakara, Zahra Michuzi amesema tayari hatua zimeanza kuchukulia za kinidhamu dhidi ya ...
Rajabu Reli (22) amehukumiwa miezi sita jela na Mahakama ya Wilaya ya Sengerema baada ya kukutwa na hatia ya kuvaa sare za Jeshi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) bila ruhusa.
Akizungumza na Mwananchi baada ya kuulizwa lini itarajiwe mabasi hayo yataanza kutoa huduma, Dk Kihamia amesema taarifa ...
Amesema Halmashauri itaweka bajeti maalum kwa ajili ya matengenezo na mafuta ya gari hilo ili kuhakikisha linatoa huduma bila ...
Katibu Mkuu aliyekuwapo alikuwa Hamad Masoud ambaye amemaliza muda wake na iwapo akiteuliwa anaweza kuendelea na majukumu.
Kuanzia Januari 20 baada ya kuapishwa, Trump anarejea tena madarakani akiwa na nguvu ya kutekeleza ahadi alizozitoa kwa wananchi wa Marekani wakati wa uchaguzi na kufanikiwa kumshinda ...
Ukiusikia ukweli wowote, kabla ya kuusema, kwanza jiulize, je, ni lazima useme kila kitu tunachokisikia au kwanza tutangulize ...
Baraza la Wawakilishi Zanzibar na Ustawi wa Jamii wameitaja Hospitali ya Taifa Muhimbili (MNH) kama darasa la utoaji wa ...
Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar, Hemed Suleiman Abdulla amesema kama sekta ya bima nchini itaendelea kufanya kazi kwa ...
Aprili 2022, alihukumiwa kifungo cha miaka 24 gerezani baada ya kukiri makosa 18, ikiwa ni pamoja na kukufuru na uchochezi.
Wawili hao pamoja na wafuasi wao wamekuwa wakitupiana maneno, kila upande ukijaribu kuonyesha uzuri wa mgombea wao huku ...