Wakati baadhi ya wananchi wa mikoa ya Nyanda za Juu Kusini wakionyesha hofu, wakisita kupeleka watoto shule kutokana na ...
Dar es Salaam. Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu imemuamuru mshtakiwa Madina Bille, aliyekuwa anakabiliwa na shtaka la kuingia ...
Wakati vijana wanne waliokuwa wamedaiwa kutekwa nyara wakiachiliwa katika maeneo tofauti nchini Kenya, polisi wamekana ...
Miongozo hiyo ni ile iliyotungwa na kuanza kutumika mwaka 2012, kuhusu taratibu za kuendesha kampeni na kujitojihusisha na ...
Halmashauri ya Mlimba imeiweka katika uangalizi maalumu Shule ya Msingi Lugala iliyopo Kata ya Uchindile, Tarafa ya Mlimba ...
Rais Samia Suluhu Hassan, amefungua hoteli akiunga mkono kauli ya Rais Dk Hussein Mwinyi wa Zanzibar, kwamba wanaochelewesha ...
Hatua hiyo ilisababisha kusimama kwa muda kwa shughuli za usafirishaji, hali iliyosababisha usumbufu kwa abiria katika stendi ...
Wakati Rais mteule wa Marekani, Donald Trump akisubiri kuapishwa Januari 20, mwaka huu, bado anakabiliwa na uwezekano wa ...
Mahakama Kuu, Masjala Ndogo ya Geita, imewaachia huru watu 10 wakiwamo wa familia moja waliokuwa wakishtakiwa kwa kesi ya ...
Tangu Kinana alipojiuzulu, nafasi hiyo imebaki wazi kwa kipindi cha takriban miezi mitano, jambo ambalo ni la kipekee katika historia ya chama hicho.
Majirani walipoona nzi wengi wakizunguka nyumba ya mzee huyo, waliamua kuvunja mlango na kuingia ndani na kukuta mwili wa Tuju ukining'inia.
Kamanda Mchunguzi amesema mtuhumiwa huyo alikamatwa akiwa amejificha jijini Mwanza na hatua za kisheria zinaendelea kuchukuliwa dhidi yake.