KOCHA Mkuu wa Alliance Girls, Sultan Juma amesema kwa sasa Simba Queens na JKT Queens hazina upinzani kwenye mbio za ubingwa ...
KITENDO cha kufungwa bao 1-0 dhidi ya Burkina Faso, kimeonekana kumkera Kocha wa Zanzibar Heroes, Ali Bakar Ngazija.
MIAMBA ya soka ya Italia, AC Milan inatarajia kukoleza mwendo kwenye mpango wa kunasa saini ya mshambuliaji Marcus Rashford ...
REAL Madrid imeripotiwa kwamba imepiga chini mpango wa kumsajili beki wa Liverpool, Virgil van Dijk baada ya wakala wa Mdachi ...
IMEZOELEKA kwenye tasnia ya burudani hasa Tanzania msanii mmoja kushirikiana na mtu mwenye upinzani naye ni ngumu kufanya ...
KOCHA wa Simba, Fadlu Davids, ameweka rekodi ndani ya timu hiyo baada ya kupata ushindi wa bao 1-0, juzi dhidi ya CS Sfaxien ya Tunisia. Ushindi huo ni wa kwanza ugenini kwa kikosi hicho kuupata ...
PLANET imetwaa ubingwa wa Ligi ya Kikapu Mkoa wa Mwanza (MRBA), baada ya kuifunga Eagles katika michezo 3-1. Fainali ya ...
ILE Ligi ya Kikapu Daraja la Kwanza Mkoa wa Dar es Salaam imeendelea kushika kasi katika Uwanja wa Bandari, Kurasini, ambapo ...
Kocha wa Manchester City, Pep Guardiola amesema haridhishwi na kiwango duni kinachoonyeshwa na Jack Grealish akimtaka ...
Hiyo inatokana na majembe inayoyashusha baada ya kutembeza fagio la nyota wanane ilioanza nao msimu huu ambao ni wa kwanza ...
KUTOKANA na Al Hilal kuwa tayari na tiketi ya kucheza robo fainali ya Ligi ya Mabingwa Afrika, huku mchezo ujao ikiwa ...