MMESIKIA huko? Kocha mpya wa Singida Black Stars, Hamdi Miloud mwenye uraia pacha wa Algeria na Ufaransa, ambaye amerithi ...
KOCHA Mkuu wa Alliance Girls, Sultan Juma amesema kwa sasa Simba Queens na JKT Queens hazina upinzani kwenye mbio za ubingwa ...
IMEZOELEKA kwenye tasnia ya burudani hasa Tanzania msanii mmoja kushirikiana na mtu mwenye upinzani naye ni ngumu kufanya ...
KITENDO cha kufungwa bao 1-0 dhidi ya Burkina Faso, kimeonekana kumkera Kocha wa Zanzibar Heroes, Ali Bakar Ngazija.
REAL Madrid imeripotiwa kwamba imepiga chini mpango wa kumsajili beki wa Liverpool, Virgil van Dijk baada ya wakala wa Mdachi ...
MIAMBA ya soka ya Italia, AC Milan inatarajia kukoleza mwendo kwenye mpango wa kunasa saini ya mshambuliaji Marcus Rashford ...
ILE Ligi ya Kikapu Daraja la Kwanza Mkoa wa Dar es Salaam imeendelea kushika kasi katika Uwanja wa Bandari, Kurasini, ambapo ...
PLANET imetwaa ubingwa wa Ligi ya Kikapu Mkoa wa Mwanza (MRBA), baada ya kuifunga Eagles katika michezo 3-1. Fainali ya ...
Kocha wa Manchester City, Pep Guardiola amesema haridhishwi na kiwango duni kinachoonyeshwa na Jack Grealish akimtaka ...
BAADA ya jana Jumatatu michuano ya Kombe la Mapinduzi 2025 kuendelea kwa mzunguko mwingine baada ya Januari 3 na 4 kupigwa ...
KOCHA wa Simba, Fadlu Davids, ameweka rekodi ndani ya timu hiyo baada ya kupata ushindi wa bao 1-0, juzi dhidi ya CS Sfaxien ...
MASHABIKI wa Yanga wameanza kuchekelea wakisahau siku ngumu walizopitia kabla na baada ya kuondoka kwa kocha wao Miguel ...