ZAIDI ya vibanda 3,000 vya wafanyabiashara wadogo, maarufu kama Machinga katika Soko la Ukwaju, vimeteketea kwa moto ambao uliwaka kwa zaidi ya saa tano huku chanzo kikiwa bado kinachunguzwa. Wakizung ...
RAIS Samia Suluhu Hassan, amesema serikali kwa kushirikiana na Watanzania waishio nje ya nchi (diaspora) wamepanga kufungua vituo 100 vya lugha ya Kiswahili kwenye maeneo mbalimbali duniani. Aidha, vi ...
JESHI la Polisi nchini limefanikiwa kudhibiti maandamano ya viongozi na wanachama wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) katika maeneo mbalimbali Dar es Salaam. Aidha, Kamanda wa Polisi wa Kan ...