Jina lake sasa litawekwa katika gazeti rasmi la serikali na kisha angoje kuapishwa kuanza kuhudumu kama Naibu Rais .
Bunge la Kitaifa limeafiki uteuzi wa Profesa Kithure Kindiki kuwa Naibu Rais mteule wa Kenya baada ya jina lake kuwasilishwa ...
RAIS William Ruto amemteua Prof. Kithure Kindiki kuchukua nafasi ya aliyekuwa Naibu Rais Rigathi Gachagua, ambaye ameondolewa ...
Mahakama kuu nchini Kenya inasikiliza rufa iliyowasilishwa na aliyekuwa Naibu wa Rais Rigathi Gachagua anayepinga mchakato wa ...
RAIS wa Kenya, William Ruto amemteua Profesa, Kithure Kindiki kuwa naibu rais akichukuwa nafasi ya Rigathi Gachagua, ambaye ...
Bunge la kitaifa nchini Kenya, limeidhinisha jina la aliyekuwa Waziri wa usalama wa ndani Kithure Kindiki mwenye umri wa ...
Mwaka 2019, Waiguru alinusurika kung’olewa ugavana, hata hivyo mpango huo haukuwezekana. Mwingine ambaye anatajwa huenda akarithi kiti cha Naibu Rais ni Waziri wa Usalama wa Ndani, Kithure Kindiki.