Bunge la Kitaifa limeafiki uteuzi wa Profesa Kithure Kindiki kuwa Naibu Rais mteule wa Kenya baada ya jina lake kuwasilishwa ...
Mvutano wa kisiasa unaripotiwa nchini Kenya: kwa mara ya kwanza tangu kutumuliwa kwake, hatua iliyopitishwa na Bunge la ...
Odinga alikuwa akigombea na aliyekuwa Waziri wa Sheria mwenye nguvu, Martha Karua, anayetoka eneo hilo, na kuungwa mkono na ...
Naibu wa Rais wa Kenya Rigathi Gachagua ametimuliwa Alhamisi hivi punde siku ya Alhamisi jioni kufuatia utaratibu ambao ...
ALIYEKUWA Makamu wa Rais Rigathi Gachagua ameondolewa haki ya ulinzi na usalama na kusema chochote kikimpata Rais William ...
NAIROBI, Kenya - Bunge la Seneti nchini Kenya limepiga kura kumuondoa kazini Naibu Rais wa Taifa hilo, Rigathi Gachagua.
RAIS William Ruto amemteua Prof. Kithure Kindiki kuchukua nafasi ya aliyekuwa Naibu Rais Rigathi Gachagua, ambaye ameondolewa ...
MAHAKAMA Kuu Nchini Kenya imetoa amri ya kusitisha utekelezaji wa azimio na Seneti na uteuzi wa Naibu Rais mpya hadi Oktoba ...
Kuna joto la kisiasa nchini Kenya kwa sasa hasa kile kinachoonekana kuwa ni masaibu yanayomuandama naibu rais Rigathi Gachagua, na madai kwamba wapambe wa rais William Ruto wanapanga kumtimua ofisini.
Miezi mitatu baada ya maandamano makubwa ya kuipinga serikali nchini Kenya, Shirika la kimataifa la kutetea haki za binadamu Amnesty International, leo linapanga kuwasilisha ombi la kutaka kuundwe ...
Serikali ya Shirikisho ya tetea takwimu zake za utoaji wa ajira milioni moja, wakati upinzani una sisitiza kuwa asilimia ...