NAIROBI, Kenya - Bunge la Seneti nchini Kenya limepiga kura kumuondoa kazini Naibu Rais wa Taifa hilo, Rigathi Gachagua.
Mvutano wa kisiasa unaripotiwa nchini Kenya: kwa mara ya kwanza tangu kutumuliwa kwake, hatua iliyopitishwa na Bunge la ...
NAIROBI, Kenya: NAIBU Rais wa Kenya, Rigathi Gachagua ameendelea kujitetea tangu jana na tena leo anaendelea na utetezi wake ...
Miaka 23 iliyopita mwezi kama huu tarehe saba,mashambulizi mawili ya kigaidi yaliyotekelezwa kwa wakati mmoja yaliikumba Miji ya Nairobi,Kenya na Dar Es Salaam Tanzania. Mashambulizi hayo ya ...
Katika mji mkuu wa nchi jirani Kenya, Nairobi huvutia watu wenye utajiri katika masuala ya biashara na uwekezaji. Mji uliopo pwani Mombasa una umaarufu wa kuvutia watalii katika hoteli nyingi ...
BAADA ya Bunge la Kitaifa la Kenya kupiga kura kumwondoa madarakani Naibu Rais wa Kenya Rigathi Gachagua,anasubiri kufikishwa ...
Irungu Houghton, mkuu wa shirika hilo la Amnesty nchini Kenya, amesema haki ya kuandamana ... waandamanaji walipovamia jengo la bunge mjini Nairobi mnamo Juni 25.